Pichani Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, katika uwanja wa Songea.
Dkt Nchimbi ameondoka mkoani Ruvuma baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma iliyoanzia Aprili 2 mwaka huu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.