Pichani Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizindua jarida maalum la mkoa wa Ruvuma linaloonyesha mafanikio ya miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika sekta mbalimbali mkoani Ruvuma.
Uzinduzi huo umefanyika leo, Aprili 4, 2025, katika Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), uliofanyika kwenye Ukumbi wa Kanisa Katoliki Bombambili, Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma,
Jarida hilo linatoa taswira ya maendeleo makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia, katika sekta mbalimbali ikiwemo afya, elimu, maji pamoja na barabara.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.