ZIWA Nyasa lina vivutio vya aina mbalimbali ambavyo vimekuwa vinavutia wengi na kuifanya wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma kuwa kitovu cha utalii ukanda wa Kusini.Licha ya kuwepo fukwe za kuvutia,ziwa Nyasa pia limebarikiwa visiwa,samaki wa mapambo,mapango ya kuvutia kama jiwe la Pomonda na milima ya Livingstone
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.