Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma imebarikiwa kuwa na fukwe za asili ambazo zimekuwa kivutio kikubwa cha uwekezaji na sekta ya utalii ambapo,Mwekezaji anaweza kujenga hoteli za kitalii.Picha ya kwanza ni fukwe na mlima Mbamba mjini Mbambabay ,huu ni mji ambao unatajwa kuwa kitovu cha utalii mkoani Ruvuma.
Fukwe za Chiwindi wilayani Nyasa mpakani mwa Tanzania na Msumbiji.Fukwe hizo za asili zinafaa kwa uwekezaji katika sekta ya utalii
Tazama video za Fukwe hapa https://www.youtube.com/watch?v=_oRGIovSrts
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.