Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvumaimebarikiwa kuwa na fursa karibu zote za utalii ikiwemo utalii wa ikolojia na kiutamaduni ambapo hivi sasa imebainika kuna fursa nzuri ya kuona utalii wa kilimo hususan kupitia zao la Kahawa aina ya Arabica inayolimwa katika tarafa ya Mpepo wilayani humo.
Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya amesema kahawa inayolimwa wilayani Nyasa ina soko kubwa katika soko la Duniani kwa kuwa watumiaji wanapenda ladha na namna inavyonukia ukilinganishwa na kahawa zinazozalishwa katika maeneo mengine Duniani
Habari zaidi TAZAMA HAPAhttps://www.youtube.com/watch?v=zisT1J1oZoU&t=10s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.