Hiki ni kisiwa cha Lundo kilichopo ndani ya ziwa Nyasa,kilometa nne kutoka ufukweni mwa mji wa Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma,kisiwa hiki kina ukubwa wa kilometa za mraba 20,kisiwa hiki kinafaa kwa shughuli za uwekezaji kama kujenga hoteli zenye hadhi za kitalii
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.