Pichani kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mheshimiwa Filiberto Sanga leo Aprili 25,2023 akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas katika kijiji cha Lituhi wilayani Nyasa baada ya Mwenge wa Uhuru kukamilisha mbio zake katika Wilaya ya Nyasa.
Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa ameukabidhi Mwenge huo kwa Katibu Tawala Mkoa wa Njombe Judica Omary kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe kuanza mbio zake mkoani humo Aprili 25,2023,
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.