Pichani wa kwanza kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed kushoto .Mkuu wa Majeshi alikuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha kumbukizi ya mashujaa wa Vita ya Majimaji wapatao 67 waliouawa kikatili na wajerumani mwaka 1906 na kuzikwa katika makaburi mawili ndani ya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Mahenge Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.