Watu kumi na watatu wamefariki dunia na wawili kujeruhiwa baada ya gari lenye namba ya usajili T 800 BXP kupinduka na kuzama katika daraja la mto njoka uliopo kijiji cha Namatui Halmashauri ya Songea mkoani Ruvuma wakitokea mnadani kurudi Songea mjini.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.