Pichani juu ni Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalla Shaib Kaim wa kwanza kushoto na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas mbele kulia wakipanda miti kwenye mradi wa hifadhi ya mazingira wa Mahenge AMCOS uliopo Kata ya Utiri kijiji cha Mtama Halmashauri ya mji Mbinga ambapo Mwenge wa Uhuru Kitaifa uliweka jiwe la msingi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.