Picha ya pamoja na makundi mbalimbali kati ya Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo na wawakilishi wa makundi mbalimbali katika maadhimisho ya Juma la elimu ya watu wazima ambalo kimkoa yamefanyika Mbambabay wilayani Nyasa.
Kau;imbiu ya mwaka huu ni Ujumuishi katika elimu bila ukomo kwa ujuzi ,ustahimilivu ,amani na maendeleo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.