Baadhi ya washiriki kutoka katika Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma wakiwa kwenye kikao cha makabidhiano ya mwendelezo wa mfumo wa usafirishaji wa dharura kwa akina mama wajawazito (M-mama) kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.