Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akizungumza kwenye hafla ya Kusaini mikataba ya matengenezo ya barabara Mkoani Ruvuma iliyofanyika Katika viwanja vya ofisi ya MKuu wa Mkoa mjini Songea
Meneja wa TARURA Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Silvester Chinengo kushoto akikabidhi mkataba wa miradi ya ujenzi wa barabara Mkandarasi wa Kampuni ya Kimango Engneering Co Ltd Happy Kimaro wakati wa hafla ya utiaji saini Mikataba ya matengenezo ya barabara za Mkoa wa Ruvuma kwa mwaka wa fedha 2024/2025 iliyofanyika katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.