Pichani kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mheshimiwa Peris Magiri akitoa taarifa ya Wilaya hiyo kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed ambaye alifanya ziara ya kikazi ya siku moja.
kulia kwa Mkuu wa Mkoa ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Rehema Madenge
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.