Serikali imetoa jumla ya shilingi bilioni 1.76 kwa shule 30 za sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma kujenga madarasa mapya 88 ambayo yamekamilika na yanatarajia kuanza kuchukua wanafunzi zaidi ya 4000 kuanzia Januari 2022.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.