Katikati Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwakabidhi Tuzo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kwa kuongoza kuwa na hoja chache zaidi zilizotolewa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) inayoishia Juni 30,2023
Mkoa wa Ruvuma una Halmashauri nane .
Tuzo hiyo imetolewa kwenye ukumbi wa Skyway mjini Tunduru ambapo yamefanyika majumuisho yaliyoshirikisha Halmashauri zote
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.