Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma kupitia Idara ya Elimu Msingi imeanza kutekeleza agizo la MKuu wa Wilaya ya Nyasa Mheshimiwa. Filberto Sanga la kuhakikisha wanafunzi wote wanapata chakula Cha mchana shuleni ili kupunguza utoro na kuinua kiwango cha elimu.
Pichani ni walimu wa shule ya msingi Nyasa wakiwagawia chakula wanafunzi wa shule hiyo na kuhakikisha wanakula chakula Cha mchana shuleni.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.