Halmashauri ya wilaya ya nyasa mkoani Ruvuma imefanya hafla ya kupokea mifuko13,501 ya mbolea yenye thamani ya Tsh milioni 838,146,600 itakayowanufaisha wakuilima wa Vyama vya Ushirika na Masoko (AMCOS) kutoka vyama kumi vya ushirika na Masoko Wilayani Nyasa.
Hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya AMCOS ya kingerikiti ikiongozwa na mgeni rasmi Katibu Tawala wa Wilaya ya Nyasa Salum Mohamed Ismail aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh. Peres Magiri.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.