Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas katikati Pichani akiwakabidhi Tuzo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Neema Maghembe na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mheshimiwa Menas Komba.
Halmashauri hiyo imeongoza kati ya Halmashauri nane za Mkoa wa Ruvuma kwa kufunga Hoja nyingi zaidi baada ya zoezi la uhakiki wa CAG.
Tuzo hiyo imekabidhiwa kwenye majumuisho ya mabaraza maalum ya ripoti ya CAG inayoishia Juni 30,2022 kwenye ukumbi wa Skyway mjini Tunduru
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.