WANANCHI wa Mchomoro wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wakitekeleza kwa vitendo maelekezo ya kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 Gofrey Mnzava kwamba mwenge wa Uhuru hatutembezi badala yake unakimbizwa ambapo maeneo yote ulipopita Mwenge huo wakimbizwa Mwenge na wananchi walikimbiza kwa hamasa kubwa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.