Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Mary Masanja amezindua gari la kisasa lenye Makumbusho inayotembea ambalo limenunuliwa kwa fedha za UVIKO na Idara ya Makumbusho ya Taifa ili kurithisha historia ya Tanzania kijiditali. Uzinduzi wa gari hilo umefanyika katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.