• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

HISTORIA za Taifa ziwe Chanzo cha ajira-Mhe.Silinde

Imewekwa kuanzia tarehe: February 28th, 2022

 NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mheshimiwa David  Silinde ameagiza Mamlaka za Serikali za Mitaa na Watanzania  kuzitumia kumbukumbu na historia za Kitaifa kuwa chanzo cha ajira ili kuendelea kupigana vita dhidi ya umasikini.

Mheshimiwa Silinde ametoa maagizo hayo wakati anazungumza kwenye kilele cha kumbukizi ya miaka 115 ya Mashujaa wa vita ya Majimaji mjini Songea.

Ameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kuendelea kuhakikisha kuwa historia ya Taifa letu inatumika kwa manufaa ya kijamii na kiuchumi ,hivyo ametoa wito kwa vijana kutathmini na kuthamini utamaduni wetu na kutumia nguvu zao katika kulinda Utalii na kujiletea maendeleo.

Hata hivyo amesema haitakuwa na maana yoyote tukisema kuwa tunawaenzi na kuenzi tamaduni zetu wakati maadili tunayorithi kutoka kwa mababu zetu yanaendelea kuporomoka na kupotea hivyo amesisitiza kujitoa kwao muhanga kuendelee kujidhihirisha kwetu kama ilivyo Kauli Mbiu ya mwaka huu Utamaduni wetu, nguvu zetu kwa Maendeleo ya Utalii na Uchumi Wetu.

‘’Naomba niwakumbushe kuwa njia nzuri Zaidi na ya pekee ya kuendelea kuwaenzi Mashujaa hawa ni kuhifadhi tamaduni zetu kwa kufanya kazi kwa bidii, kulinda rasilimali za Taifa, kupambana na kuzuia rushwa, ujangili wa wanyama pori na madawa ya kulevya’’ amesema Silinde.

Kwa upande wake Chifu wa tano wa Wangoni Emanuel Zulu amemuomba  Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho Tanzania kuwa tunapoombeleza kifo cha Mashujaa wa Vita ya Majimaji tuanze kwa kuwakumbuka wahanga wote wa Vita ya Majimaji kuanzia Kilwa mkoani Lindi kwa tarehe zao na kumalizia mkoani Ruvuma .

Naye Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Pololet Mgema  akitoa salamu za Mkoa ametoa rai kila mwananchi kujiandaa kushiriki Sensa ya Watu na Makazi inayotarajia kufanyika Agosti mwaka huu , pia amekumbusha umuhimu wa wananchi kujitokeza kwa hiari kupata chanjo ya UVIKO  19.

Imeandaliwa na Bahati Nyoni

Kutoka ofisi ya Habari ya Mkuu wa Mkoa Ruvuma

28 Februari 2022. 

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.