Muonekano wa majengo ya hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma iliyojengwa katika kijiji cha Mpitimbi.Hospitali hii imekuwa mkombozi wa wananchi wanaozunguka katika kijiji hicho pamoja na nchi jirani ya Msumbiji ambao wanapata huduma za afya katika hospitali hiyo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.