Kushoto Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Joel Mbewa akizungumza kwenye uzinduzi wa kliniki ya kudhibiti na kutibu saratani kwa watu wenye ulemavu wa ngozi.
Mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo uliofanyika katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Songea (HOMSO) alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ambaye aliwakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.