Pichani ni Mheshimiwa Jaji Kiongozi wa Mahakama kuu ya Tanzania Mustapher Mohamed Siyani (katikati) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas (kulia kwake) alipomtembelea ofisi kwake mjini Songea, mara baada ya kuwasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuzindua mafunzo ya mfuko wa fidia kwa wafanyakazi (WCF) ambapo Majaji 14 watashirikiri kupata mafunzo hayo pamoja na watumishi wengine wa taasisi za Serikali.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.