KIKAO cha kwanza cha kuapisha madiwani wapya wa Baraza la Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma limefanyika katika jengo jipya la Halmashauri hiyo ambalo serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt.John Magufuli imetoa shilingi bilioni 2.9 kutekeleza mradi huo.Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=WqoJ9xu-IJQ
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.