Wodi ya upasuaji katika hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ambayo serikali imetoa shilingi milioni 254 kutekeleza mradi huu.
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Odo Mwisho,imetembela na kukagua mradi huu na kuagiza mradi huo ambao umefikia asilimia 95 ukamilike kwa asilimia 100
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.