SERIKALI imetoa shilingi milioni 300 kujenga jengo la wagonjwa wa dharura katika hospitali ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma.Ujenzi wa jengo hilo upo katika hatua za umaliziaji.
Serikali imetoa shilingi milioni 900 katika Mkoa wa Ruvuma kujenga majengo matatu ya wagonjwa wa dharura katika hospitali za Tunduru,Nyasa na Madaba.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.