MBUNGE wa Viti Maalum mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Kunti Majala amesema utafiti umebaini kuwa kahawa inayozalishwa wilaya Mbinga mkoani Ruvuma inaongoza kwa ubora Duniani.
Akizungumza mjini Mbinga kwenye ziara ya Naibu Waziri wa Afya Dr Godwin Mollel Mbunge huyo kutoka Mkoa wa Dodoma amewashauri wakulima wa Mbinga kuitumia vizuri raslimali ya kahawa kwa kuongeza uzalishaji wa zao hilo.
Mkoa wa Ruvuma kwa vipindi vitano vya misimu ya masoko ya zao la kahawa kuanzia mwaka 2018 hadi 2023 wamezalisha kahawa kilo 77,664,927.75 na kuwapatia shilingi 353,263,592,542.45
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.