Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Ndugu Odo Mwisho akizungumza wakati anakagua eneo la viwanda lililopo Kata ya Lilambo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambapo serikali kupitia mapato ya ndani imetumia shilingi milioni 258 kutekeleza mradi huo wa viwanda kwa vikundi vya wanawake,vijana na wenye ulemavu.
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Odo Mwisho imeanza ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.