Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira wakikagua boti ya injini ilitolewa kwa kikundi cha uvuvi cha Kivukoni kupitia Mradi wa Hifadhi Endelevu ya Ardhi katika Bonde la Ziwa Nyasa (SLM-Nyasa) unaotekelezwa na Ofisi ya Makamu wa Rais katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (kulia) akimuongoza Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswaga na wajumbe wa kamati hiyo kuelekea kukagua boti ya injini ilitolewa kwa kikundi cha uvuvi cha Kivukoni kupitia Mradi wa Hifadhi Endelevu ya Ardhi katika Bonde la Ziwa Nyasa (SLM-Nyasa) unaotekelezwa na Ofisi ya Makamu wa Rais katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.