Pichani ni Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM Taifa (NEC) Ndugu Hemedi Ahmadi Challe akiongozana na wajumbe wengine wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma wakati wa ukaguzi wa ujenzi katika jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ambalo lipo kwenye hatua za Mwisho ili lianze kutumika ifikapo mwezi wa 11, 2023. hadi kukalimika kwa jengo hilo ujenzi utagharimu kiasi cha fedha shilingi bilioni 3.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.