Katikati ni Naibu Kamishina wa Uhifadhi na Maendeleo ya Biashara wa TANAPA Herman Batiho akizungumza baada ya kufunga mafunzo kwa Askari wahifadhi wa TANAPA 97 katika Chuo cha Uhifadhi wa Maliasili kwa Jamii cha Likuyuseka Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma ,kushoto kwake ni Naibu Kamishina wa Uhifadhi na Mkuu wa Kanda ya Kusini Asteria Ndaga na kulia ni Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Nyerere Kamishina Msaidizi Mwandamizi Witness Shoo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.