Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephine Ndaki akipanda miti aina ya mparachichi kwenye shule mpya ya sekondari mpya ya Lilondo iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mabada ambapo wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa ruvuma alipo tembelea na kukagua ujenzi wa shule hiyo ambapo serikali imetoa kiasi cha shilingi milioni 560 kujenga shule hiyo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.