Katika zama ambazo dunia inapambana na mabadiliko ya tabianchi, mmomonyoko wa udongo na ukame, Wamatengo walishamaliza mjadala huo karne tatu zilizopita.
“Tangu tumeanza kutumia Ngoro, hatujawahi kuhama mashamba. Tunavuna kila mwaka, tunatunza ardhi yetu,” anasema Mzee John Mbunda (80), mkazi wa Kilanga Juu.
Utafiti wa wataalamu kama Bike (1938), Stenhouse (1994), na Temu na Bisanda (1966) wote unathibitisha: Ngoro si hadithi ni teknolojia halisi ya asili inayofanya kazi hadi leo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.