Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akizungumza wakati anafunga rasmi maonesho na sherehe za Sikukuu ya walimu Nanenane ngazi ya Mkoa wa Ruvuma ambazo zimefanyika kwenye viwanja vya Amanimakoro wilayani Mbinga.
Kaulimbiu ya mwaka huu ya maadhimisho ya sherehe za wakulima Nanenane ni Chagua viongozi bora wa serikali za mitaa kwa maendeleo endelevu ya kilimo,mifugo na uvuvi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.