MKUU WA MKOA WA RUVUMA APIGA KURA Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed Ahmed akipiga kura ya kuwachagua viongozi wa serikali za mitaa katika kituo Namba Moja Mtaa wa Mashujaa Kata ya Mjini Manispaa ya Songea Uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika nchini kote leo Novemba 27,2024 .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.