MKuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amekutana na watumishi katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma katika kikao chenye lengo la kusikiliza changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi ili waweze kufanya kazi zao kwa tija na ufanisi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.