Ukifika Songea ni vema kutembelea mji mdogo wa Peramiho nje kidogo ya Mji wa Songea mkoani Ruvuma,Peramiho ni moja ya maeneo yenye utajiri wa utalii wa kihistoria ikiwemo uwepo wa kanisa kongwe la Peramiho lenye saa ya ajabu ambayo tangu imefungwa mwaka 1946 hadi sasa haijawahi kupoteza majira wala kurekebishwa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.