Kisiwa cha Puulu kilichopo ziwa Nyasa kata ya Liuli wilayani Nyasa mkoani Ruvuma ni miongoni mwa visiwa vitatu vilivyopo katika ziwa Nyasa ambavyo vimesheheni vivutio vya aina mbalimbali vikiwemo samaki wa mapambo.
Visiwa vingine ni kisiwa cha Lundo na kisiwa cha Mbambabay ambavyo vinamilikiwa na TAWA
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.