Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amekagua mradi wa sekondari maalum ya wasichana Mkoa wa Ruvuma inayojengwa eneo la Migelegele Wilaya ya Namtumbo.
kanali Thomas ameagiza kasi ya ujenzi wa sekondari hiyo iongezeke na kukamilika kwa wakati ili iweze kuanza kuchukua wanafunzi mwakani.
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi bilioni tatu kuanza utekelezaji wa mradi huo.Sekondari hiyo inatarajia kuanza kuchukua wanafunzi Januari 2023.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.