Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi amewapongeza wakulima wa Mkoa wa Ruvuma kwa kuwa vinara kwa Uzalishaji wa zao la mahindi nchini
Balozi Dkt. Nchimbi ametoa pongezi hizo alipokuwa akizungumza na wananchi katika viwanja vya Matarawe vilivyopo Songea Mjini
Dkt Nchimbi amesema Mkoa wa Ruvuma ni miongoni mwa mikoa mitano nchini inayoilisha Tanzania na Afrika
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.