• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

KAYA masikini Songea zashauriwa kuibua miradi

Imewekwa kuanzia tarehe: May 21st, 2021

Mratibu wa TASAF wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mkoani Rumavu Hossana Ngunge amezitaka kaya masikini kuibua miradi itakayo imarisha uchumi  wa wananchi na endelevu ambayo itanufaisha jamii nzima siyo walengwa tu tatika kipindi cha utekelezaji wa miradi ya TASAF awamu ya tatu kipindi cha pili cha mwaka 2021.

Ngunge amesema katika kipindi cha awali miradi iliyokuwa ikiibuliwa ilikuwa haiwanufaishi wananchi wote bali ilikuwa inamnufaisha mlengwa au kikundi cha walengwa wanao husika na huo mradi kitendo ambacho Serikali imekiona hakina tija katika kuimarisha uchumi wa wananchi.

“Miradi unayotakiwa kuibua ni miradi itakayo wanufaisha wananchi wote siyo walengwa tu”,amesisitiza Ngunge.s

Ngunge ameitaja baadhi ya miradi ambayo kaya hizo zinaweza kuibua ni pamoja na ujenzi wa vivuko vidogovidogo,kilimo cha mazao ya kimkakati,utengezaji wa barabara za vumbi na ukarabati wa visima vya jadi.

Ameongeza kwakusema zoezi la kuibua miradi ya kaya masikini limeanza Mei 17 ,2021 kwa Vijiji 32 ambavyo vilikuwepo kwenye mpango kuanzia awali na Vijiji 24 vinaendelea kufanyiwa uhakiki ili navyo viingizwe kwenye mpango wa kunusuru kaya masiki Nchini cha awamu ya tatu kipindi cha pili.

Ngunge ameyataja makundi ya walengwa wanaostahili kupata ruzuku kupita TASAF bila kufanya kazi kuwa ni kundi la wazee wenye umri wa zaidi ya miaka 65 watoto chini ya miaka 18,akinamama wajawazito na wagonjwa.

Kaya zenye uwezo wa kufanya kazi zita wajibika kufanya kazi na kulipwa ujira wa shilingi 3000 kwa siku, ndani ya  mwezi mmoja wanatakiwa kufanya kazi siku 10 na kipindi cha ukamishalishaji wa mradi ni  miezi sita sawa na siku 60 za kazi.

Wakiongea kwaniaba ya wanakaya wenzao wanakaya wa Kijiji cha Mpitimbi (A) wamesema wanakubaliana na utaratibu na miongozo inayotolewa  na serikali nao wapo tayari kufanya utekelezaji wake.  

Halmashauri ya Wilaya ya Songea inajumla ya Vijiji 56 ambavyo vyote vitaingizwa kwenye mpango baada ya zoezi la uhakiki kukamilika kwa Vijiji 24 kulingana na utaratibu wa Serikali wakutaka kuzifikia kaya masikini kwa asilimia miamoja katika awamu ya tatu kipindi cha pili cha 2021.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.