• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

KAYA zaidi ya 76,000 kugawiwa kingatiba za ugonjwa wa usubi Songea

Imewekwa kuanzia tarehe: August 21st, 2023

Katibu Tawala Wilaya ya Songea Mtela Mwampamba amefanya uzinduzi wa zoezi la ugawaji wa dawa za kinga tiba ya Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele ikiwemo na Usubi, Matende, Minyoo  na Mabusha katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea.

Zoezi  hilo hufanyika kila mwaka Kitaifa chini ya Wizara ya Afya kwa kushirikiana na RTI, ambapo kwa Manispaa ya Songea zoezi hilo litafanyika kuanzia tarehe 16 Agosti 2023 hadi 202 Agosti 2023 katika kata zote 21 na Mitaa 95 kwa walengwa wenye umri kuanzia miaka 5 na kuendelea isipokuwa kwa Akina mama wajawazito, wagonjwa na watoto chini ya miaka mitano.

Akizungumza na waandishi wa habari   ofisini  kwake mnamo tarehe 16 Agost 2023  ambapo amewataka wananchi kushiriki katika zoezi la unywaji wa dawa kinga tiba za magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kwani hazina madhara yoyote.

Alisema zoezi hilo linasimamiwa na wataalamu wa afya pamoja na  wahudumu 1400 waliopewa mafunzo maalumu ya ugawaji wa dawa kutoka kila mtaa ambao watapita kwenye kaya 76,927 zilizopo ndani ya Manispaa ya Songea.


Kwa upande wake Mratibu wa Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele Bload Komba alisema “ kabla ya kuanza zoezi hilo watoa mafunzo kwa wataalamu pamoja na  utoaji wa elimu kwa wananchi kupitia  wenyeviti  wa mitaa 95.

 Alisema lengo la zoezi hilo ni unyweshaji wa kinga tiba kwa jamii  kuwafikia wananchi kwa asilimia 80% kwa wananchi wasiopungua 286,285 kwa kaya 76,927 ambazo zitasaidia kupunguza maambukizi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine, inauwa vimelea, kuepusha upungufu wa damu mwilini, kuwa makuzi bora ya watoto, na kuboresha nguvu kazi kwa jamii.

 Bload alibainisha Madhara ya magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele ni pamoja na ulemavu wa ngozi, vifo, maumivu ya muda mrefu,huchangia  umaskini na kudumaza uchumi wa kifamilia.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.