• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

KIAMA kwa wanaofanya mapenzi na wanafunzi Tunduru

Imewekwa kuanzia tarehe: July 12th, 2023

MKUU wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Julius Mtatiro kwa kushirikiana na jeshi la polisi,wamefanikiwa kumkamata David Luya mkazi wa mtaa wa Nazareti wilayani humo akiwa na msichana mdogo mwenye umri wa miaka 12(jina linahifadhiwa)ndani ya chumba chake.

Akizungumza  na waandishi wa Habari katika eneo la tukio Mtatiro alisema,Luya amekamatwa majira ya saa 5.30 usiku akituhumiwa kujihusisha kimapenzi  kwa muda mrefu na msichana huyo anayesoma shule ya moja ya sekondari  jijini Dar es slaam.

Alisema,vyombo vya ulinzi na usalama vilipata taarifa kwamba katika mtaa wa Nazaret kuna mwanaume  mtu mzima amekuwa akijihusisha kimapenzi  na kuwadhalilisha wasichana wadogo mara kwa mara.

Mtatiro alisema,waliweka mtego na walipofika katika nyumba hiyo walimkuta mtuhumiwa akiwa na mwanafunzi chumbani kwake bila ridhaa ya wazazi.

Alisema,baada ya kuwakamata wote wawili kwenye simu ya mtuhumiwa ilikutwa picha ya video ikimuonyesha msichana huyo mdogo akiwa chumbani kwa mtuhumiwa akitumikishwa kingono.

Alieleza kuwa,baada ya kufikishwa kituo cha Polisi  msichana huyo alikiri kuwa amekuwa akitumikishwa kingono na mtuhumiwa  kwa muda mrefu pindi wazazi wake wanapoondoka.

" na hata baada ya binti kufanyiwa vipimo vya kitaalam ilibainika kwamba ameingiliwa kingono na sasa taratibu za kumfikisha mahakamani mtuhumiwa zinaendelea"alisema.

“huyu mtuhumiwa siyo mwenyeji wa hapa, nadhani mwenyeji wa mkoa wa Singida ambaye amekuja Tunduru kujihusisha na masuala ya utafiti wa kilimo,lakini  tulipewa taarifa kwamba amekuwa na mienendo siyo mizuri kwa muda mrefu na jana ndiyo tumefanikiwa kumkamata”alisema.

Katika hatua nyingine Mtatiro alisema,kukamatwa kwa Luya kumetokana na operesheni kali inayoendelea wilayani humo ya kuwasaka wanaume wanaojihusisha na kimapenzi na wasichana wenye umri mdogo hasa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari na kusababisha watoto wengi wa kike kuacha shule.

Pia alisema,msako huo unawahusu wazazi wote wanao wakatisha watoto masomo na kuwatumikisha kazi mbalimbali na  wanaoozesha watoto wa kike katika umri mdogo kwa tamaa ya kupata fedha za mahali.

Kwa upande wake David Luya,alikataa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi huyo na alikwenda chumbani kwake kuazima simu ili kumpigia dada yake aliyekuwa kwenye shughuli zake za biashara.

Dada wa msichana huyo Sabrina Abdala alisema,alipata wasiwasi na mdogo wake kuwa na mahusiano baada ya kumuona akiwa na simu ya mtuhum

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KIONGOZI mwenge wa Uhuru aonya rushwa kwenye uchaguzi

    May 10, 2025
  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.