Mkuu wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma Mheshimiwa Filbertho Sanga akizungumza wakati anatoa salamu za serikali kwenye kikao cha Baraza la Madiwani cha kujadili taarifa za robo ya kwanza ya Julai hadi Septemba 2023.
Mwanzoni kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nyasa Ndugu Khalid Khalif,wengine picha ya chini ni baadhi ya waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Nyasa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.