Waziri wa Habari Mheshimiwa Nape Nauye amefungua kikao kazi cha maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini ambacho kinafanyika kwa siku tano jijini Tanga.
Kikao hicho kinahudhuriwa na maafisa habari zaidi ya 300 toka Tanzania Bara na visiwani wakiongozwa na Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Gerson Msigwa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.