Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki akiwa kwenye kikao kazi cha tatu cha serikali Mtandao ambacho kimefanyika kuanzia Februari 8 hadi 10,2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) jijini Arusha.
washiriki zaidi ya 1000 kutoka Tanzania Bara na visiwani wamehudhuria kikao hicho chenye kauli mbiu ya “Mifumo Jumuishi ya TEHAMA kwa utoaji bora wa huduma za umma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.