Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed anawatakia kila la kheri wanafunzi wa darasa la nne ambao wanaanza mitihani yao ambayo inafanyika kwa siku mbili.
Baraza la Taifa la mitihani (NECTA) limetangaza rasmi kuanza kwa mtihani Wa upimaji kitaifa wa darasa la nne na mtuhani wa kidato cha pili huku likitoa rai kwa wanafunzi kutojigusisha na udanganyifu kwani atakaebainika atafutiwa mitihani yake.
Akizungumza na waandishi wa habari Katibu Mtendaji wa NECTA Dkt.Said Mohamed amesema mitihani hiyo inatarajiwa kuanza Oktoba 23 na 24,2024 kwa upimaji wa darasa la nne wakati wa kidato cha pili unatarajia kuanza Oktoba 28 na kumalizika Novemba 7,2024.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.