Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed anawakaribisha wananchi wote wa Ruvuma na mikoa jirani kwenye kilele cha kumbukizi ya mashujaa wa Vita ya Majimaji Februari 27,2027 ndani ya viwanja vya Makumbusho Mahenge Songea ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.